Yanga vs Dodoma Jiji kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2025
Yanga vs Dodoma Jiji kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar

Mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Dodoma Jiji utapigwa Juni 22 katika uwanja New Amaan Complex visiwani Zanzibar, imethibitishwa

Awali mchezo huo ulitarajiwa kuwa wa kuhitimisha msimu lakini baada ya mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na Bodi ya ligi, mchezo namba 184 dhidi ya Simba ndio utakuwa wa mwisho Juni 25

Hivyo Yanga itaelekea visiwani Zanzibar kuikabili Dodoma Jiji kisha kurejea Dar es salaam kuikabili Simba Juni 25 kisha kurudi tena Zanzibar kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa fainali ya kombe la CRDB ambao utapigwa Juni 28

Baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Juni 18 uwanja wa Sokoine Mbeya, Yanga itaelekea visiwani Zanzibar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’