Mayay arudisha fomu, 'endorsement' kipengele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jun 2025
Mayay arudisha fomu, 'endorsement' kipengele

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Ali Mayay ni miongoni mwa wagombea waliojitosa kuwania kiti cha Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Leo ndio siku ya mwisho kwa wagombea waliochukua fomu kuzirejesha ambapo Mayay ni miongoni mwa waliorejesha fomu hizo licha ya kukumbana na changamoto ya kupata wadhamini

Rais anayetetea kiti chake Wallace Karia inaelezwa amechukua 'Endorsement' zote na hivyo kuwafanya wagombea wengine wakose na kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi, waliorejesha fomu bila 'endorsement' wataenguliwa kwa kukosa moja ya vigezo

Mayay amesema licha ya kukosa 'endorsement' amerejesha fomu ili kukamilisha hatua ya kwanza ya mchakato huo wa uchaguzi

Inaelezwa wagombea ambao wamekosa 'endorsement' wanakusudia kufungua malalamiko Kamati ya rufaa ya TFF kupinga kitendo cha mgombea mmoja kuchukua 'endorsement' zote

Kuna kanuni inasema mgombea atakosa sifa endapo atakosa walau wadhamini/wajumbe wa 5 kwa njia ya barua

Inaelezwa wajumbe wote 47 wamemdhamini mgombea anayetetea kiti chake, Karia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’