Bacca, Job kama kawaida kikosi cha Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2025
Bacca, Job kama kawaida kikosi cha Stars

Mapema leo majina ya wchezaji wanaounda kikosi cha Tanzania kitakachoingia kambini Julai 7, 2025, Misri kwaajili ya michuano ya CHAN 2024 yametangazwa ambapo walinzi wa Yanga Dickson Job na Ibrahim Bacca wamechukua nafasi za katika kikosi hicho

Aidha Kocha Hemed Morocco pia amewarejesha Mudathir Yahya na Clement Mzize kikosini huku Shekhan Khamis akiendelea kupata nafasi ya kuitwa katika kikosi hicho

Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
48m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’