Baada ya kutua visiwani Zanzibar jioni ya leo, kikosi cha Yanga hakina muda wa kupoteza kwani wameanza maandalizi kuelekea mchezo wa fainali kombe la CRDB dhidi ya Singida Black Stars
Jumapili, Juni 29 Yanga itashuka dimba la New Amaan Complex kumenyana Singida BS Wananchi wakilenga kutetea taji la CRDB kwa msimu wa nne mfululizo








ADVERTISE HERE