Huu umekuwa kama sehemu ya utaratibu wa Yanga katika kunogesha utani dhidi ya Simba, MABANGO...!
Juzi Yanga iliandikisha kipigo cha tano mfululizo dhidi ya Simba kwa ushindi wa mabao 2-0, pale uwanja wa Benjamin Mkapa, kipigo hicho kimeambatanishwa na zawadi ya bango kwa watani
Bango hilo limetundikwa visiwani Zanzibar, likibeba matokeo ya mechi zote tano zilizopita..!


ADVERTISE HERE