Dube apewa mapumziko, kuikosa Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2025
Dube apewa mapumziko, kuikosa Singida BS

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Singida Black Stars leo katika mchezo wa fainali ya kombe la CRDB utakaopigwa uwanja wa New Amaan Complex

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema Dube amepewa mapumziko na benchi la ufundi ili aweze kupona kikamilifu majeraha ya nyama za paja

"Dube alicheza mechi dhidi ya Simba akiwa na maumivu. Ile ilikuwa mechi muhimu na uongozi ulifanya kila linalowezekana aweze kucheza na tuliona alikuwa na mchango wake katika dakika 45 za kipindi cha kwanza"

"Yeye amepewa mapumziko hivyo hayuko katika mipango ya mchezo dhidi ya Singida Black Stars"

"Yanga ina kikosi kipana, tunaamini wachezaji waliobaki watafanikisha malengo yetu ya kutetea taji la CRDB kwa msimu wa nne mfululizo," alisema Kamwe

Dube aliumia katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons majeraha ambayo yalimfanya akose mchezo dhidi ya Dodoma Jiji kabla ya kutumika kwa dakika 45 katika mchezo dhidi ya Simba

Mapumziko aliyopewa yatamsaidia kupona kabisa majeraha hayo na kurejea akiwa imara kwenye pre-season ya maandalizi kuelekea msimu ujao 2025/26

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’