Kabla ya kuanza safari ya kurejea Bara, Yanga ikiongozwa na Rais Injinia Hersi Said walifika Ikulu ya Zanzibar na kuonana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ambapo pamoja na mambo mengine, Injinia Hersi alimkabidhi makombe matano ya Yanga kwa msimu wa 2024/2025





ADVERTISE HERE