Klabu ya Yanga inafanya 'tour' ya makombe yake kuyapeleka kwa wadhamini ambapo jana Wadhamini wakuu kampuni ya SportPesa waliyapokea makombe matano ambayo Yanga ilifanikiwa kutwaa msimu uliomalizika
Baada ya SportPesa, NIC nao wakapata fursa hiyo na leo Azam Media wameipata fursa kwa kupelekewa makombe hayo Studio




ADVERTISE HERE