Aucho kuongeza mwaka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2025
Aucho kuongeza mwaka Yanga

Baada ya majadiliano ya wiki kadhaa, hatimaye kiungo Khalid Aucho amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Yanga, imefahamika

Aucho ni mmoja wa wachezaji tegemeo katika kikosi cha Yanga, katika sehemu ya mkakati wa kuendelea kufanya vyema, Mganda huyo ni sehemu ya mipango ya Yanga kuelekea msimu ujao

Licha ya maboresho ambayo Yanga imekusudia kufanya katika dirisha hili la usajili, lakini mkakati namba moja ni kuhakikisha wachezaji wote muhimu waliomaliza mikataba wanasalia

Aucho, Dickson Job, Mudathir Yahya, Pacome Zouzoua, Duke Abuya na Maxi Nzengeli ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao imemalizika na Yanga imefanya jitihada za kuwabakisha kikosini

Aucho ameitumikia Yanga kwa misimu minne, akishinda mataji manne ya ligi kuu, mataji manne ya kombe la FA, mataji matatu ya Ngao ya Jamii na kuwa sehemu ya kikosi kilichocheza fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC) na robo fainali ya ligi ya mabingwa (CAF CL)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’