Yule mchezaji aliyesema Kamwe ni huyu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jul 2025
Yule mchezaji aliyesema Kamwe ni huyu

Yanga inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Balla Moussa Conte raia wa Guinea aliyekuwa akiitumikia klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia

Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika, imebainisha kuwa Conte ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Sfaxien, tayari ana makubaliano binafsi na Yanga huku mabingwa hao wa kihistoria wakifikia makubaliano na Sfaxien juu ya mauziano ya mchezaji huyo

Jana Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe wakati anazungumza na wanahabari, alidokeza juu tukio la 'kupora' mchezaji ambaye alikuwa tayari ana makubaliano ya kusajiliwa na klabu moja kubwa nchini

Kamwe alibainisha kuwa Yanga 'ilipita' na mchezaji huyo baada ya kubaini timu aliyokuwa amekubaliana nayo haikuwa imemuingizia pesa kwenye akaunti

Conte alihusishwa na Simba tangu usajili wa dirisha dogo, alikuwa sehemu ya kikosi cha Sfaxien kilichocheza dhidi ya Simba katika mechi za kombe la Shirikisho msimu uliopita

Simba ilikuwa tayari imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo huyo, lakini kuchelewa kwa mchakato wa malipo yake kukaipa nafasi Yanga 'kupita nae'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’