Yanga yaenda Shinyanga, kuikabili Mwadui FC Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2018
Yanga yaenda Shinyanga, kuikabili Mwadui FC Jumamosi
Kikosi cha Yanga kikiwa na wachezaji 20 na viongozi nane kimeondoka jijini Dar es salaam mapema leo Ijumaa May 18 2018 kuelekea Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mwadui FC.

Yanga itakuwa mgeni wa Mwadui kesho Jumamosi May 19 kwenye dimba la Kambarage katika moja ya michezo ya kukamilisha ratiba.

Yanga iliyo nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi ikiwa na alama 48 inahitaji kushinda mchezo huo ili kuondokana na 'gundu' la kucheza michezo saba mfululizo bila kushinda tangu alipoondoka aliyekuwa kocha wake mkuu George Lwandamina.

Baada ya mchezo huo Yanga itamaliza michezo yake mitatu iliyobaki jijini Dar es salaam dhidi ya Mbao FC, Ruvu Shooting na Azam FC
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
53m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’