Klabu ya Lipuli FC 'imeikatalia' Yanga kumchukua mshambuliaji wake Adam Salamba ili iweze kumtumia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Kulingana na barua ya Mratibu Mkuu wa Lipuli FC, klabu hiyo imesema kuwa imebaini Salamba hana sifa ya kuitumikia Yanga msimu huu kwa kuwa tayari ameshazitumikia timu mbili kulingana na kanuni za FIFA.
Lipuli Fc imeishauri Yanga itafute mchezaji mwingine.

ADVERTISE HERE