Rais wa Shirikisho la Kimataifa la mpira wa Miguu (FIFA) Gianni Intantino, ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC 2024/25
Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, Infantino amesema juhudi walizofanya Yanga msimu mzima zimewalipa kutwaw ubingwa

ADVERTISE HERE