Ecua tayari yuko Dar, asubiri utambulisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2025
Ecua tayari yuko Dar, asubiri utambulisho

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Celestin Ecua tayari yuko jijini Dar es salaam akisubiri kutambulishwa kabla ya kuanza majukumu yake na mabingwa hao wa nchi

MVP huyo wa ligi kuu ya Ivory Coast msimu uliopita anatua kwa Wananchi akitokea klabu ya Zoman Fc, akicheza kwa mkopo Asec Mimosas msimu uliopita

Ecua aliweka rekodi ya kibabe ligi kuu ya Ivory Coast akifunga mabao 15 na asisti 12 na akiwa MVP wa tatu kutoka Ivory Coast kusajiliwa na Yanga katika misimu mitatu iliyopita wengine wakiwa Stephane Aziz Ki na Pacome Zouzoua

Ecua anamudu vyema majukumu ya kiungo mshambuliaji namba 10, winga na hata mshambuliaji wa kati

Ni suala la muda tu Yanga itatambulisha usajili wa nyota huyo mwenye kipaji cha hali ya juu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’