Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amemkabidhi tuzo maalum Khalid Aucho katika kutambua mchango wake
Aucho amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa misimu minne akishinda mataji ya ligi kuu, FA (CRDB), Ngao ya Jamii na kufanya vyema katika mashindano ya CAF
Yanga imeahidi kuendelea kumthamini mchezaji huyo akipewa nafasi ya kurejea tena katika majukumu mengine pale atakapostaafu kucheza mpira wa miguu
Aucho alifanya kazi yake vyema dimbani lakini hata alipokuwa nje ya uwanja, aliwahamasisha wenzake katika kuipambania Yanga

ADVERTISE HERE