Ngoma amerudi, kwenda Morogoro

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
31 Jul 2017
Ngoma amerudi, kwenda Morogoro
Mshambuliaji hatari Donald Ngoma ambaye alipewa ruhusa ya kwenda kushughulikia mambo binafsi kwao nchini Zimbabwe, amerejea na atasafiri kwenda mkoani Morogoro kujiunga na kambi ya Yanga.

Ngoma aliyeongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga kwa miaka miwili, amesema yuko fiti na anataka kuisaidia Yanga itwae taji la VPL kwa msimu wa nne na hata ubingwa wa Afrika.

"Tunahitaji kulinda heshima yetu kwa Kutwaa taji la VPL kwa mara nyingine msimu huu,huku tukiweka lengo la kushinda ubingwa wa Afrika, amesema Ngoma.

"Nimejindaa kwa hayo yote,niko tayari kufanya kazi kwa ajili ya wanaYanga wote."

Kwa wachezaji wa Kimataifa ni Ngoma na Kamusoko pekee am bao walikuwa bado hawajiunga na kambi ya Yanga.

Wachezaji hao walipewa ruhusa maalumu.

Yanga imeweka kambi ya siku 10 mkoani Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa VPL pamoja na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba Agosti 23.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’