Klabu ya Yanga imethibitisha nahodha msaidizi Dickson Job ameongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka Jangwni hadi mwaka 2027
Katika dirisha hili Yanga imefanikiwa kwa asilimia 100 kuwalinda nyota wake muhimu wa kikosi cha kwanza ambao mikataba yao ilikuwa imemalizika
Job ni nguzo muhimu ya Yanga katika safu ya ulinzi, licha ya ofa alizopokea kutoka timu nyingine, alichagua kuendelea kuitumikia Yanga
Anaungana na Pacome Zouzoua, Duke Abuya, Maxi Nzengeli, Mudathir Yanga, Aziz Andabwile miongoni mwa wachezaji walioongeza mikataba Yanga
Wananchi wanasema tabu iko palepale...!
ADVERTISE HERE