Yanga yazindua kampeni ya Tofali la Ubingwa kanda ya ziwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2025
Yanga yazindua kampeni ya Tofali la Ubingwa kanda ya ziwa

Klabu ya Yanga leo iliusimamisha Mji wa Geita kwa saa kadhaa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Tofali la Ubingwa Kanda ya Ziwa

Mkurugenzi wa Wanachama, Mashabiki na Masoko Ibrahim Samwel akiongozana na Meneja Habari na Mawasiliano Ali Kamwe, walizindua tawi la Yanga Kasamwa Geita baada ya kutumiza idadi ya Wanachama 100 waliyohuisha uanachama wao.

Aidha ilikuwa nafasi kwa Wananchi wa Geita, kuyashuhudia makombe na kufurahi huku wakichangia matofali yao ya ubingwa wa msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’