Majira ya saa 6 usiku Yanga ilimtambulisha beki wake mpya wa kushoto Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr'
Ilikuwa ni suala la muda, Yanga ilifanya 'umafya' kwa watani zao Simba kwa kumnyakua Zimbwe Jr wakati timu hiyo ikihaha kumuongezea mkataba
Kudhihirisha Zimbwe Jr amewauma, wametengeneza kila aina ya propaganda ili kuzima utambulisho wake ikiwa ni pamoja na kumficha mchezaji wao maarufu na kuwaaminisha mashabiki wao hayupo kambini
Zimbwe Jr amejiunga na timu kubwa zaidi nchini, amefuata makombe kwa Wananchi...!


ADVERTISE HERE