Kikosi cha Yanga leo kimeingia katika siku ya nne ya pre-season mazoezi yakiendelea katika uwanja wa KMC Complex
Mkufunzi wa Yanga Romain Folz akiwa na benchi lake la ufundi, wanaendelea kuiandaa dozi ya 2025/26
Folz ana wiki moja zaidi ya kukiandaa kikosi kabla ya kipimo chake cha kwanza Ijumaa ijayo kwenye Tamasha la Rayon Day
Kuna dalili njema zimeanza kuonekana KMC Complex, msimu ujao kuna timu zinaweza kuikimbia tena Yanga






ADVERTISE HERE