Klabu ya Azam Fc imetoa baraka zake kwa mchezaji Aboubakar Nizar Othman kujiunga na Yanga.
Baada ya klabu ya Yanga kumsajili kinda huyo, Azam Fc waliibuka wakidai ni mchezaji wao walimpeleka kwa mkopo klabu ya JKU.
Hata hivyo kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo, mgogoro huo umemalizika huku wakiushukuru uongozi wa Yanga kwa weledi wao katika kumaliza sakata hilo.

ADVERTISE HERE