Klabu ya Yanga imeendelea kuweka rekodi baada ya leo kuzindua tawi rasmi la Wanachama, Kigali
Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika ukumbi wa De Light Hotel Kigali, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said akiambatana na Makamu wa Rais Arafat Haji na Mjumbe wa kamati ya utendaji Alex Ngai wakihudhuria uzinduzi huo
Yanga iko Rwanda kwa mwaliko wa Rayon Sports ambapo baadae itachuana na wenyeji wao katika mchezo wa maadhimisho ya Rayon Sports Day ambao utapigwa uwanja wa Amahoro





ADVERTISE HERE