Pacome akabidhiwa jezi namba 10

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2025
Pacome akabidhiwa jezi namba 10

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua, msimu huu atatumia jezi namba 10 badala ya ile namba 26 iliyozoeleka

Jezi namba 10 ilitumiwa na Stephane Aziz Ki misimu mitatu iliyopita. Baada ya Aziz Ki kutimikia Wydad, Pacome ameibeba

Katika mechi yake ya kwanza jana dhidi ya Rayon Sports, Pacome akathibitisha kwa nini amekabidhiwa namba hiyo

Aliihakikishia Yanga kupata ushindi wa mabao 3-1 akifunga na kutoa pasi ya bao lililofungwa na Andy Boyeli

Pacome anathibitisha ni usajili wenye thamani kubwa Yanga, ameendeleza pale alipoishia msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’