Kazi imemalizika Rwanda! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga kuanza safari ya kurejea Dar wakiwa na taji la Rayon Sports Day
Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rayon Sports uliwahakikishia Wananchi kushinda taji hilo katika mchezo uliopigwa uwanja wa Amahoro jana
Yanga inarejea Dar kukamilisha maandalizi yake ya msimu mpya, yakiwa pia ni maandalizi kuelekea Wiki ya Wananchi








ADVERTISE HERE