Yanga kutangaza tarehe ya wiki ya Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2025
Yanga kutangaza tarehe ya wiki ya Wananchi

Kikosi cha Yanga kilirejea mazoezini jana kujiandaa na mikiki mikiki ya ligi kuu 2025/26 pamoja na michuano mingine ikiwemo ligi ya mabingwa barani Afrika

Kabla ya mechi ya ufunguzi wa ligi Septemba 16, Yanga itachuana na watani zao Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambao huenda ukapigwa Septemba 14

Kabla ya mechi hiyo ya Ngao ya Jamii, Wananchi bado wanasubiri tarehe ya kufanyika wiki ya Mwananchi ambapo mara nyingi tukio hilo ni la kwanza katika kalenda ya Yanga kwenye msimu

Michuano ya CHAN inayoendelea nchini inatajwa kuvuruga mipangilio ya ratiba lakini taarifa za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Yanga ni kuwa tukio hilo litafanyika baada ya kumalizika michuano hiyo

Wakati wowote Yanga itangaza tarehe ya tukio hilo ambalo litafanyika katika wiki ya kwanza ya mwezi wa tisa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’