Kampuni ya GSM ambao ni watengenezaji na wasambazaji rasmi wa jezi za klabu ya Yanga, wameanza kupokea oda kutoka kwa wafanyabiashara kwa ajili ya jezi za 2025/26
Kiwango cha chini cha kuweka oda ni pisi 300 kwa bei ya jumla ya Tsh 32,000/- ambapo utapata pisi 100 kwa kila rangi
Hii ni fursa pia kwa matawi ya Yanga ambapo Wanachama wataweza kunufaika na utaratibu huo

ADVERTISE HERE