Kikosi cha Yanga leo kimeingia rasmi kambini Avic Town kuendelea na maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2025/26
Kwa wiki mbili Yanga ilikuwa ikijifua katika uwanja wa KMC Complex ambapo wachezaji walifanya mazoezi na kurejea majumbani
Lakini kuanzia leo nyota wote pamoja na benchi la ufundi wataweka kambi Avic Town katika awamu ya pili ya pre-season




ADVERTISE HERE