Baada ya kutambulishwa rasmi kujiunga na Yanga, beki wa kati Frank Assinki ameungana na wachezaji wengine wa Yanga katika pre-season inayoendelea Avic Town
Leo imeingia siku ya pili tangu Yanga ilipoingia kambini Avic Town katika maandalizi ya msimu mpya 2025/26





ADVERTISE HERE