Rasmi Yanga imeachia jezi zake zitakazotumika msimu ujao 2025/26 katika mashindano mbalimbali
Matoleo matatu, jezi ya nyumbani, ugenini na toleo maalum la tatu. Hili hapa ni toleo la jezi za nyumbani..!
Jezi zinapatikana Makao Makuu ya Yanga, Jangwani na maduka ya GSM kwa bei ya rejareja ya Tsh 45,000/-





ADVERTISE HERE