Kikosi cha Yanga leo kilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Tabora United ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Wananchi
Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam
Mabao ya Yanga yalifungwa na Prince Dube, Pacome Zouzoua na Celestin Ecua aliyepachika mabao mawili
Huo ni mchezo wa tatu wa kirafiki kwa Yanga ikishinda mechi zote


ADVERTISE HERE