Yanga mbioni kukamilisha taratibu za umiliki eneo la uwanja Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2025
Yanga mbioni kukamilisha taratibu za umiliki eneo la uwanja Jangwani

Klabu ya Yanga leo inatarajiwa kukamilisha malipo ya Serikali (kodi) ili kupatiwa umiliki wa eneo la ujenzi wa uwanja ambalo ltakuwa takribani mita 37,500, imefahamika

Klabu ya Yanga iliomba kuongezewa eneo lenye urefu wa mita za mraba 2000 ambapo Serikali iliridhia ombi hilo na kilichokuwa kinasubiriwa ni kukamilika kwa taratibu nyingine kabla ya Yanga kukabidhiwa eneo lao

Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Yanga kilichofanyika jijini Dar es salaam hivi karibun, kilijadili mchakati huo na kuidhinisha malipo hayo

Baada ya malipo hayo Yanga itaweka mawe ya alama za umiliki wa eneo hilo, ambapo baada ya hapo zitabaki taratibu za ndani ya klabu hiyo kuanza mchakato wa ujenzi.

"Kila kitu kipo sawa, kuna malipo ambayo yatafanyika Jumatatu (leo), yakishafanyika hayo sasa tutakuwa tunamiliki rasmi eneo la ukubwa wa skwea mita 37,500 ambalo sasa litatutosha kabisa kwa ujenzi"

"Nadhani kila kitu baada ya malipo hayo kitatangazwa katika mkutano mkuu ambao utafanyika wikiendi ijayo, " mmoja wa viongozi waandamizi wa Yanga alinukuliwa na Mwanaspoti

Mdhamini wa Yanga, GSM atasimamia ujenzi huo wa uwanja ambao utachukua takribani mashabiki 30,000

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’