Raphael Daudi Alpha huyu hapa

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
31 Jul 2017
Raphael Daudi Alpha huyu hapa
Klabu ya Yanga imemtambulisha kiungo wa Mbeya City Raphael Daudi Alpha baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Daudi anakuwa mchezaji wa saba kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili la usajili linalotarajiwa kufungwa Agosti 06.

Miguu ya kiungo huyu ina mabao mengi sana. Kwani kwa misimu miwili mfululizo aliibuka kinara wa upachikaji mabao klabu ya Mbeya City licha ya kutokuwa mshambuliaji.

Msimu uliopita aliifungia Mbeya City mabao nane huku msimu wa nyuma yake akifunga idadi kama hiyo ya mabao pia.

Ni mmoja wa wachezaji walio kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayonolewa na kocha Salum Mayanga.

Karibu sana Yanga fundi, huku kwetu utamaduni wetu ni kushinda mataji.



ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’