Mshambuliaji Ogochukwu James kutoka Manzini Wonderers ya Swaziland tayari alishatua nchini na jana alianza majaribio kwenye kikosi cha Yanga.
Kama akifuzu majaribio, mshambuliaji huyo mrefu aliye na misuli iliyoshiba huenda akachukua nafasi ya Donald Ngoma ambaye tayari uongozi wa Yanga umeamua kumpa mkono wa kwaheri.
Mchezaji huyo naye amepatikana kwa usaidizi wa kiungo Papi Tshishimbi ambaye amerejea hivi karibuni kutoka kwao alikokwenda kujitibu enka.

ADVERTISE HERE