Kuelekea ufunguzi wa shamrashamra za Wiki ya Wananchi, klabu ya Yanga leo Jumanne, Septemba 02 itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam saa 5 asubuhi

ADVERTISE HERE