Mashabiki wa Yanga wameendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali kununua tiketi kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani imeendelea kupokea mamia ya mashabiki wanaofika kununua tiketi zao
Mwananchi unasubiri nini kama bado hauna tiketi?








ADVERTISE HERE