Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Injinia Hersi Ally Said leo ametembelea Klabu ya mpira wa miguu ya Botafogo de Futebol e Regatas kwa lengo la kujenga ushirikiano wa kukuza soka baina ya Yanga na Botafogo
Hersi alipokelewa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Soka na Akademi Diego Mello.
Botafogo ni miongoni mwa vilabu vikubwa na yenye mashabiki wengi katika kihistoria ya mpira wa miguu nchini Brazili


ADVERTISE HERE