Katika shamrashamra za wiki ya Mwananchi, mapema leo viongozi, wanachama na mashabiki wa Yanga wakishirikiana na GSM Foundation, walishiriki zoezi lakufanya usafi pamoja na kupanda miti katika kata ya Kawe jijini Dar es Salaam.










ADVERTISE HERE