Yanga kutumia AI kukusanya taarifa za wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2025
Yanga kutumia AI kukusanya taarifa za wachezaji

Klabu ya Yanga leo imeingia mkataba na kampuni ya BlackBird kutokea Rotterdam Uholanzi itkayotumia mfumo wa akili bandia (AI) kukusanya taarifa za wachezaji

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema makubaliano hayo yanaifanya Yanga kuwa klabu ya kwanza barani Afrika kutumia mfumo huo

“Leo tumeingia mkataba na kampuni ya BlackBird kutokea pale Rotterdam Uholanzi. Mkataba huu ni kwa ajili ya teknolojia ya Artificial Intelligence (AI)"

"Mfumo huu utatusaidia kukusanya taarifa za wachezaji wetu. Klabu ya Yanga ndio klabu ya kwanza Afrika kuingia kwenye mkataba huu,” alisema Hersi

Nae Thim van der Weijden kutoka BlackBird, amesema wameichagua Yanga kwa sababu ni klabu kubwa barani Afrika wakivutiwa zaidi na mchakato wa mabadiliko uliofanywa na mabingwa hao wa Tanzania Bara

“Tunayofuraha kubwa sana kuwa mshirika wa kiteknolojia na klabu ya Yanga. Tumeichagua Yanga kwa sababu ni klabu kubwa sana Afrika. Tumevutiwa sana na mchakato wao a mabadiliko. Mfumo huu wa mabadiliko wa klabu umetupatia sisi fursa ya kufanya kazi na moja ya klabu ambayo inaendanana na kasi ya teknolojia,” alisema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’