Kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi, mapema leo, uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation, walitembelea hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada mbalimbali kwa wagonjwa hususani kwa afya ya MAMA na MTOTO



ADVERTISE HERE