Bugati akaibuka kutambulisha kikosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2025
Bugati akaibuka kutambulisha kikosi

Kulikuwa na tetesi msemaji wa zamani wa Yanga Haji Manara alikuwa mbioni kurejea kwa waajiri wake wa zamani

Lakini jana katika shamrashamra za Wananchi, Manara akakata mzizi wa fitna akiwahakikishia mashabiki wa Yanga kuwa yeye ni Mwananchi na hii ndio klabu ya ndoto zake

Manara aliibuka uwanja wa Benjamin Mkapa na kuchukua jukumu lake la kutambulisha kikosi, kazi aliyoifanya kwa miaka minne sasa

Alimaliza utambulisho na Pacome Zouzoua, kama ilivyokawaida yake, akamfunga kamba za viatu. Alifanya tukio kama hilo msimu uliopita na Pacome akamaliza msimu kama mchezaji bora zaidi wa msimu (MVP).

Bila shaka Pacome ataendeleza ubora wake msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’