Jumanne Septemba 16 2025 mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba itapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Mechi hii ni maalum kufungua pazia rasmi la msimu wa ligi kuu ya NBC, 2025/26
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni ambao tiketi pendwa Mzunguuko ni buku tano tu

ADVERTISE HERE