Samatta, Alikiba waandaa mechi ya hisani Juni 09

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2018
Samatta, Alikiba waandaa mechi ya hisani Juni 09
Nahodha wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba wanatarajiwa kucheza mechi maalum ya hisani kuhamasisha uchangiaji wa vifaa na miundombinu mashuleni Juni 9, mwaka huu Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Wawili hao wamethibitisha kushiriki katika mechi hiyo huku kila mmoja akitakiwa kuunda kikosi chake.



Ò€œNi mechi ya hisani ya Samatta 11 na Ali Kiba 11, nitachagua rafiki zangu na Ali atachagua rafiki zake.

"Ni mechi ya Hisani kama nyingine nyingi ambazo zimekuwa zikifanywa na wachezaji wakubwa. Nataka nifanye moja lakini itakuwa na ladha tofauti, kwani timu pinzani itakuwa ya Ali Kiba,Ò€ amesema Samatta huku akiwataka mashabiki wake wamsaidie kuchagua kikosi kinakachojumuisha wachezaji wakongwe na wa sasa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’