Ni Ngao ya pili mfululizo kwa Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Sep 2025
Ni Ngao ya pili mfululizo kwa Wananchi

Taji la kwanza msimu huu limerudi kabatini pale Jangwani baada ya Yanga kutwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba

Ni Ngao ya pili mfululizo kwa Yanga ikiwa Ngao ya nne katika misimu mitano...!

Lakini pia ni ushindi wa sita mfululizo kwa Yanga dhidi ya watani zao Simba

Romain Folz na benchi lake la ufundi pia wanahesabu lao la kwanza tangu wajiunge na klabu ya Yanga

Bila shaka ni msimu mwingine wa 'kukomba' mataji kwa Wananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
27m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’