Kikosi cha Yanga leo kimefanya maandalizi yake ya mwisho katika uwanja wa Novemba 11 kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wiliete Banguela ambao utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja huo







ADVERTISE HERE