Kikosi cha Yanga kimerejea kutoka Angola baada ya mchezo wa mkondo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wiliete S.c
Ushindi wa mabao 3-0 waliopata Angola umewaweka Wananchi katika nafasi nzuri ya kusonga mbele raundi ya kwanza ya michuano hiyo
Kabla ya mchezo wa marudiano utakaopigwa Septemba 27 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itashuka dimba la Mkapa Septemba 24 kuikabili Pamba Jiji katika mechi ya kwanza ligi kuu ya NBC msimu huu




ADVERTISE HERE