Tujae dimba la Mkapa mechi ya kwanza ligi kuu msimu huu - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2025
Tujae dimba la Mkapa mechi ya kwanza ligi kuu msimu huu - Kamwe

Baada ya takribani misimu miwili, leo Jumatano, Yanga inarudi uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza mechi ya ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo wa kwanza msimu ili kuhakikisha wanaanza vyema mkakati wa kutetea taji la ligi kuu kwa msimu mwingine

Kamwe amewataka Wananchi walipe viingilio vyao mapema kwani leo watapata fursa ya kuwaona wachezaji wao wote na benchi la ufundi lililokamilika chini ya kocha Romain Folz

"Huu sio mchezo wa kwanza wa ligi tu kwa Yanga, bali ni mchezo wa ufunguzi wa msimu wa ligi kuu 2025/26 kati ya Yanga dhidi ya Pamba Jiji utapigwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa"

"Pamba Jiji ni timu ambayo imejiimarisha kulinganisha na msimu uliopita, ni timu yenye vijana wengi wenye uwezo na walipata sare katika mchezo wao uliopita ugenini dhidi ya Namungo Fc"

"Lakini sisi dhamira yetu ni kuona tunaanza vyema msimu kwa kupata ushindi dhidi ya Pamba Jiji," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’