Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Wiliete SC ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE