Stars kuhitimisha kampeni ya kombe la Dunia dhidi ya Zambia leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2025
Stars kuhitimisha kampeni ya kombe la Dunia dhidi ya Zambia leo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inahitimisha kampeni ya kusaka tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia

Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa New Amaan Complex saa 4 usiku

Tayari Tanzania ilishapoteza matumaini ya kusonga raundi inayofuata kupitia 'best looser' baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo uliopita dhidi ya Congo Brazzavile

Ikiwa na alama 10 kwenye nafasi ya pili kundi E nyuma ya vinara Morocco ambao tayari wamefuzu, mechi ya leo ni kama ya kukamilisha ratiba tu kwa Tanzania

Lakini ina umuhimu katika kuboresha nafasi kwenye viwango vya FIFA mbele ya Zambia ambayo itataka kulipa kisasi cha kipigo cha bao 1-0 walichopokea dhidi ya Tanzania katika mechi ya kwanza iiliyopigwa Zambia

Nyota waliowahi kutamba na klabu ya Yanga mshambuliaji Kennedy Musonda na kiungo Clatous Chama ni sehemu ya kikosi cha Zambia kilichotua nchini kwa ajili ya mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’