Yanga Princess yapoteza kwa mikwaju ya penati baada ya sare dhidi ya JKT Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2025
Yanga Princess yapoteza kwa mikwaju ya penati baada ya sare dhidi ya JKT Queens

JKT Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii wakiibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 6-5 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Yanga Princess

Winfrida Gerald aliitanguliza JKT Queens kabla ya Jennine Mukandayisenga kusawazisha kwa Yanga Princess dakika chache kabla ya mapumziko

Licha ya kupoteza mchezo huo, Yanga Princess imeonyesha kuimarika na kuwa tayari kwa ushindani msimu huu

Vijana wa kocha Edna Lema walikuwa bora zaidi lakini kilichokosekana kwao ni utulivu katika kutumia nafasi

Ni wazi Yanga Princess iko tayari kuwania ubingwa msimu huu, tayari kuchuana na washindani wake JKT Queens na Simba Queens ambao wametawala soka la Wanawake kwa misimu kadhaa sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’