Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake Avic Town kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Silver Strikers utakaopigwa Jumamosi Oktoba 18 huko Malawi









ADVERTISE HERE